PRIME Nondo za Aunt Leila kwa wanandoa, wenza Kama ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazotolewa na wanasaikolojia pamoja na washauri mitandaoni kuhusu uhusiano, jina la Madam Leila Abubakar litakuwa si geni kwako.
Wafanyakazi watakiwa kupaza sauti Mei Mosi Unguja. Ikiwa zimebaki siku nne kuadhimishwa siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (Zatuc), limewataka kujitokeza kwa wingi ili kuwa na sauti ya...
PRIME Sakata la Makonda, Gambo lachukua sura mpya Gambo aliposimama kutoa salamu katika mkutano huo wa hadhara, alimtaja Dk Biteko na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, akiwasifia kwa utendaji kazi na uchapakazi wao.
Wanawake walia masharti magumu mikopo halmashauri Moja ya masharti hayo ni la kuwataka wanakikundi wanaoomba mkopo kutoka kwenye mtaa mmoja, jambo ambalo limekuwa gumu kwa wajasiriamali wanawake na vijana.
Sare yairejesha Mtibwa Sugar Ligi Kuu Bara Mtibwa Sugar kwa sasa imefikisha pointi 67 baada ya kucheza michezo 28, hivyo timu pekee inayoweza kuzifikia ni Mbeya City iliyoichapa Geita Gold mabao 3-2, ambapo ikishinda mechi zake zote...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Hashim Lundenga na alama 13 ‘Anko’ Hashim Lundenga. Wazo lake la Miss Tanzania alizalisha nyota wengi wa kike ambao kupitia shindano hilo maisha yao yalibadilika kabisa. Hapo ndipo utaona namna Anko Lundenga alivyoacha alama.
Tusipowekeza kwenye elimu tunajihujumu wenyewe Elimu huongeza maarifa, ujuzi, na uwezo wa mtu binafsi na taifa kwa ujumla.
PRIME Nondo za Aunt Leila kwa wanandoa, wenza Kama ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazotolewa na wanasaikolojia pamoja na washauri mitandaoni kuhusu uhusiano, jina la Madam Leila Abubakar litakuwa si geni kwako.
Matukio ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga