Jamhuri Park mpya yaleta tabasamu kwa vijana na jamii jijini Tanga
Kabla ya mwaka 2023, Jamhuri Park haikuwa kivutio tena. Iliathirika na uchakavu, kutotunzwa, na ukosefu wa huduma muhimu kama taa, vyoo vya kisasa, na maeneo ya michezo kwa watoto. Bustani...