PRIME Padri mwingine auawa kwa kumininiwa risasi akielekea ibadani Tukio la kuuawa kwa Padri Bett, limekuja siku chache tangu kuuawa kwa Padri Maina ambaye kifo chake kulihusishwa na masuala ya kisiasa.
Mnyika aibua kiini vita ndani ya Chadema, watawala watajwa Amedai kuwa Serikali imekuwa ikipinga maamuzi halali ya Baraza Kuu la Chadema lililofanyika Januari 22, 2025, ambalo liliidhinisha uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na wajumbe wa Kamati Kuu.
Mikoa hii ijipange kwa baridi Juni hadi Agosti Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuanzia Juni hadi Agosti, 2025 kutakuwa na baridi kali na ya wastani katika mikoa sita nchini.
Dk Tulia atangaza rasmi nia kugombea jimbo jipya la Uyole Dk Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania, amesema pamoja na uamuzi huo kutoa fursa kwa wengine, lakini hatawaacha wananchi wa Mbeya Mjini.
Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kigeni Chuo hicho kimekuwa kitovu cha elimu ya juu, tafiti za kisayansi, na maendeleo ya fikra duniani.
PRIME Sababu wananchi kujitengenezea barabara, Tarura yatoa mwongozo Jukumu kubwa la Tarura ni kusimamia matengenezo, ukarabati na ujenzi wa mtandao wa barabara za wilaya zilizokuwa zikisimamiwa na mamlaka za serikali za mitaa na kuratibiwa na Ofisi ya Rais...
Maeneo 14 kuleta mapinduzi Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2025/26, yenye jumla ya Sh476.65, bilioni imepangwa kutekelezwa katika maeneo makuu 14, yakiwemo kukamilisha ujenzi wa Bandari ya Uvuvi...
Zima waka ya umeme yaibua mjadala barazani, Serikali yaeleza sababu Tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara limeibua mjadala mkali miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wakilitaka Serikali kutoa maelezo ya kina kuhusu chanzo cha changamoto hiyo pamoja...
Makalla awavaa Chadema Simiyu, adai wanawapotosha wananchi Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali inawathamini wananchi wa Mkoa wa Simiyu, wakiwemo wakulima wa mpunga na pamba, ndio maana imefanya jitihada mbalimbali za kuboresha mazingira ya kilimo...
Bashe awaka wanasiasa wanaohujumu zao la pamba Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewakosoa baadhi ya wanasiasa na viongozi ambao kwa maelezo yake, wamegeuza kilimo cha pamba kuwa nyenzo ya kisiasa badala ya kusaidia kukiinua kwa maslahi ya...
Kipa Berkane: Tumefuata ubingwa Tanzania Nyota wa RS Berkane wametamba kuwa ushindi walioupata katika mechi ya kwanza kwao utakuwa silaha kwao kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu dhidi ya Simba.
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Konde Gang, Ibraah wamalizana Uongozi wa lebo ya Konde Gang chini ya Meneja washeria Sandra Brown umeeleza kuwa tayari umemalizana na aliyekuwa msanii wao Ibraah na kuwa sasa yupo huru.
Watanzania wafundishwe sayansi ya data, AI kwa malengo Data ni mafuta mapya.’ Ni msemo maarufu uliotolewa na mwanahisabati Clive Humby mwaka 2006. Kama yalivyo mafuta ya petroli, yamekuwa rasilimali yenye thamani kubwa, ndivyo data imegeuka kuwa...
PRIME Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui.