Martha Karua azuiwa kuingia Uganda, aamriwa kuondoka Mamlaka za usalama nchini Uganda zimemzuia kuingia nchini humo mwanasiasa mashuhuri na Waziri wa zamani wa Sheria wa Kenya, Martha Karua, na kuamuru arejee mara moja jijini Nairobi.