Utafiti wafichua makundi yanayoongoza Ukimwi Z’bar Utafiti mpya kuhusu mwenendo ugonjwa wa Ukimwi visiwani Zanzibar, umebainisha makundi matatu yanayoongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), huku wanawake wanaouza miili yao, wakitajwa...
Maboresho ya daftari la wapiga kura kuanza kesho Wakati zoezi la maboresho kwenye daftari la kudumu la kupiga kura likianza, Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewaomba wananchi waliotimiza sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari hilo ili...
Wadaiwa kulawitiana kwenye mahabusu ya Polisi Watuhumiwa wenye makosa mawili tofauti, wamedaiwa kulawitiana wakiwa katika mahabusu ya Kituo cha Polisi Madema, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.
PRIME Hati ya mashtaka 'dhidi ya Muungano’ ilivyomng’oa Rais Jumbe Jana katika makala kuhusu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Aboud Jumbe Mwinyi, tuliishia kwenye jitihada zake za kuimarisha Muungano kwa kuunganisha vyama...
Pemba kuwa kitovu cha utalii Kamisheni ya Utalii Zanzibar imefungua rasmi Bonanza la Utalii, Utamaduni na Michezo kisiwani pemba ambalo linatajwa kuwa mwanga wa kukifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha utalii.
SMZ: Malalamiko dhidi ya bandari ya Malindi yana mashiko Serikali ya Mapinduzi (SMZ) imekiri imesema malalamiko yanayotolewa dhidi ya huduma za bandari ya Malindi yana mashiko hivyo imeunda kamati shirikishi kutafuta suluhu.
Wanolewa kuhusu hedhi salama Zanzibar Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema uelewa juu ya hedhi salama kwa wanafunzi mashuleni, ni muhimu kwani itawaongezea wanafunzi wa kike kujiamini na ufaulu.
Polisi wataka kila mtu abebe jukumu la ulinzi Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad amesema kuwa jukumu la ulinzi na kulinda amani ni la wananchi wote hivyo kila Mtanzania awe chanzo cha kuzuia na kudhibiti uhalifu.
Tafiti 112 kutoa mbinu mbadala kutathmini utahini wa umahiri Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Said Ally Mohammed amesema tafiti 112 zimewasilishwa zinazotoa mbinu na njia mbadala ya kutathmini utahini wa umahiri.
Miswada sita kutinga mkutano Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jumla ya miswada sita inatarajiwa kuwasilishwa katika mkutano wa 13 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar utakaoanza Jumatano, Novemba 29, 2023.