Viongozi wa dini wahamasisha jamii kushiriki uchaguzi Viongozi hao wa dini wameyasema hayo leo jumamosi Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma ambapo pia waliomba amani kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Mgombea udiwani aahidi mapinduzi kwenye kata yake Moshi. Mgombea udiwani katika kata ya Rau kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Stallone Malinda ameahidi kusimamia ujenzi wa soko la kisasa kwenye kata hiyo hatua ambayo itachochea ukuaji wa uchumi...