Liverpool inautaka Ubingwa EPL Liverpool imezidi kujiweka pazuri kwenye kilele cha Ligi Kuu ya England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Anfield.