UCHAMBUZI WA MALOTO: Kazi na utu inampambanua Samia kwenye njia za Magufuli
Kaulimbiu za kampeni ni silaha yenye nguvu kwa chama cha siasa au mgombea. Donald Trump alijitengenezea mtaji mkubwa haraka, alipoinuka na kaulimbiu, “Make America Great Again” – “Fanya Marekani...