Kamati ya PAC yaibua kasoro utendaji taasisi za Serikali
Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) ya Baraza la Wawakilishi, imesema katika utendaji kazi wake imebaini kasoro nyingi, ikiwemo taasisi za Serikali kutofanya usuluhishi wa kibenki, hivyo...