Alikiba afichua kilichofanya asuse kutumbuiza Tuzo za Trace Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ameeleza kwa mara ya kwanza, nini kilisababisha aondoke bila kutumbuiza kwenye usiku wa tuzo za Trace zilizotolewa Zanzibar Februari 26, 2025.