PRIME Mambo ya kuzingatia anayejifungua kwa upasuaji Katika hali ambapo idadi ya kinamama wanaojifungua kwa njia ya upasuaji inaendelea kuongezeka huku muda wa kukaa hospitalini ukipungua, hitaji la mwongozo thabiti wa huduma za nyumbani limekuwa...
TCU yafungua dirisha la udahili shahada ya kwanza Dirisha hilo limefunguliwa ikiwa ni siku chache baada ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2026 huku asilimia 99.92 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.