ACT-Wazalendo yajizatiti kupigania Liganga-Mchuchuma Chama cha ACT- Wazalendo kimesema kitaendelea kuuvalia njuga suala la Liganga na Mchuchuma ambao ni mradi wa kimkakati unaolenga kukuza uchumi wa viwanda kwa kuanzisha sekta za msingi...