Picha Mbowe aibukia msibani kwa mkwe wa Waziri Mwigulu Jumatano, Machi 26, 2025 Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe jana Machi 25, 2025 akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Balozi Mwapachu afariki dunia, January amlilia Katika uhai wake wa kisiasa, Balozi Mwapachu alikuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo, mwaka 2015 alijiondoa kwa muda, kisha 2016 akaomba kurejea tena.
PRIME Mvua zazua kizaazaa Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama.
TMA yatangaza mvua kubwa siku tatu mfululizo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza angalizo la mvua kubwa kwa siku tatu mfululizo katika maeneo mbalimbali nchini, kuanzia leo Alhamisi, Machi 27, 2025.