Picha Watanzania walivyoadhimisha Sikukuu ya Idd el-Fitr Jumatatu, Machi 31, 2025 Watanzania wameungana na waumini wa dini ya Kiisamu duniani kusheherekea Sikukuu ya Idd el-Fitr iliyoadhimishwa leo Jumatatu Machi 31, 2025. Picha na Wapigapicha Wetu Photo: 1/8 View caption Photo: 2/8 View caption Photo: 3/8 View caption Photo: 4/8 View caption Photo: 5/8 View caption Photo: 6/8 View caption Photo: 7/8 View caption Photo: 8/8 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Muuguzi Mount Meru asimamishwa sakata la ‘mgonjwa’ kubadilishiwa mtoto Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, limechukua sura mpya baada ya Wizara ya Afya...
PRIME Hatima watia nia ubunge, udiwani Chadema kueleweka kesho Msimamo wa ama kuendelea kugombea au kuweka rehani ndoto za kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu kwa makada wa Chadema, utajulikana kesho Alhamisi Aprili 3, 2025.
PRIME UCHAMBUZI WA MALOTO: Kazi na utu inampambanua Samia kwenye njia za Magufuli Kaulimbiu za kampeni ni silaha yenye nguvu kwa chama cha siasa au mgombea. Donald Trump alijitengenezea mtaji mkubwa haraka, alipoinuka na kaulimbiu, “Make America Great Again” – “Fanya Marekani...