Serikali ilivyojibu hoja za Lissu kupinga kesi yake kusikilizwa mtandaoni
Serikali imejibu hoja za mawakili wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kupinga kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube...