Maambukizi mapya ya VVU duniani yashuka kwa asilimia 65
Ripoti hiyo inaonyesha licha ya mafanikio hayo, watu 570,000 walifariki dunia kutokana na magonjwa yanayohusiana na Ukimwi mwaka 2025, sawa na mtu mmoja kufariki kila dakika kutokana na sababu...