Matukio mbalimbali katika shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga. Mazishi hayo yanafanyika nyumbani kwake eneo la Migungani, Bunda mkoani Mara leo Jumatano, Aprili 16, 2025.