PRIME Saa 10 za hekaheka Kisutu Chadema na Polisi Ni zaidi ya saa 10 za hekaheka Kisutu, ndivyo unavyoweza kusimulia kilichotokea katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Lissu, mawakili wake wapinga kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyewe wa Chadema, Tundu Lissu.
Dk Nchimbi awatwisha zigo wajumbe wa CCM Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wajumbe watakaopiga kura za maoni, wachague wagombea kwa kuwasikiliza wananchi wanamtaka nani apitishwe ili wampigie kura...