Serikali yaondoa zuio la mazao Malawi, Afrika Kusini Kufuatia zuio hilo, Serikali za Malawi na Afrika Kusini zimewasiliana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Kilimo za Tanzania ili kuweza kutafuta suluhisho la...
Samia: 4R zisiwe kigezo kuvunja sheria Amesema mwaka wa 61 wa Muungano umeangukia katika uchaguzi mkuu, ni matumaini yake sifa ya nchi itaendelea
PRIME Saa 10 za hekaheka Kisutu Chadema na Polisi Ni zaidi ya saa 10 za hekaheka Kisutu, ndivyo unavyoweza kusimulia kilichotokea katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.