Mhagama aondoa hofu wananchi, asema Serikali ina dawa za kutosha
Dodoma. Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amewatoa wananchi wasiwasi kuhusu upatikanaji wa dawa za magonjwa mbalimbali nchini kutokana na kusitishwa kwa misaada ya dawa kutoka Marekani na kusema...