Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar mstaafu, Dk Ali Mohamed Shein, walipokutana Ikulu Zanzibar leo Jumatatu, Aprili 14, 2025.
Mwingine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa.