PRIME Makardinali wanaotajwa kumrithi Papa Francis Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 baada ya kusumbuliwa na matatizo ya mapafu.
Papa Francis afariki dunia Papa Francis, Aprili 20, 2025 alikutana katika nyumba ya Mtakatifu Marta na Makamu wa Rais wa Marekani, James Vance.
Rais TEC: Serikali ikae na wadau wa uchaguzi, waliokamatwa waachiwe Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Wolfgang Pisa, amesema ni muhimu Serikali kukaa na wadau wa uchaguzi, kuruhusu mabadiliko ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.