90 warejeshewa tabasamu kwa kupewa miguu bandia Baada ya kupitia changamoto na kuwa tegemezi kwa muda mrefu kutokana na kukosa miguu, wananchi 90 wameeleza matumaini yao katika safari mpya ya maisha baada ya kupewa miguu bandia.
Wataka maridhiano yalete matumaini mapya Zanzibar Dar es Salaam. Hatua ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT Wazalendo kusaini tamko la maridhiano ya kisiasa litakalofungua njia ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar, imeibua...
Mfumo kupunguza ubambikaji wa fedha za maegesho ya magari Malalamiko ya wananchi kuhusu kubambikiwa malipo ya maegesho ya magari huenda yakapungua baada ya kubuniwa kwa teknolojia ya Rafiki Parking and Car Wash, mfumo unaotumia akili bandia (AI)...
Tyla avunja ukimya kuhusu tetesi za kujiunga Roc Nation Mwanamuziki anayefanya vizuri katika soko la kimataifa, Tyla, amekanusha uvumi uliokuwa ukisambaa kwa siku kadhaa ukidai kuwa amesaini mkataba wa mamilioni ya dola na kampuni ya Roc Nation...
TCU yafungua dirisha la udahili shahada ya kwanza Dirisha hilo limefunguliwa ikiwa ni siku chache baada ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2026 huku asilimia 99.92 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.