Samia aitangaza Tanzania, akitaja fursa tano kwa wafanyabiashara wa Russia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imejipanga kutumia fursa za mabadiliko ya uchumi wa dunia kwa kuvutia wawekezaji wa kimataifa katika sekta za kimkakati zitakazochochea ukuaji wa uchumi,...