Kipa wa zamani wa Yanga afariki kwa ajali ya bodaboda Unamkumbuka yule kipa Clause Kindoki aliyewahi kuitumikia Yanga? Jamaa amefariki jana Jumamosi Julai 11, 2026 kwenye ajali ya pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda ikiihusisha pia lori la mizigo.
Hatari kuruhusu mtu atumiwe fedha kupitia akaunti yako Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya wananchi dhidi ya kuruhusu akaunti zao za benki au huduma nyingine za kifedha kutumika kupokea au kuhamisha fedha zisizojulikana chanzo chake.
Kisa kutishiwa kuuawa agoma kurudi Colombia Mshambuliaji wa Colombia, Jaminton Campaz, anaripotiwa kutorejea nchini kwao baada ya taifa lake kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 kutokana na hofu ya usalama wake kufuatia kupokea vitisho...
Hanlink Mobility: Gwiji wa usafirishaji Afrika Mashariki atua Tanzania, aahidi mapinduzi ya viwanda na ajira
Othman: Safari ya maridhiano bado ndefu Siku tatu baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo kusaini makubaliano ya kuanza mchakato wa kumaliza mkwamo wa kisiasa Zanzibar, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud...
ACT -Wazalendo yaijibu Chadema madai ya usaliti ACT-Wazalendo imesema wao ndio chama pekee, kina wajibu na ushawishi wa kutosha, ukiondoa CCM Zanzibar, hivyo kuna madhara yanayotokea visiwani humo yanayogusa wanachama wao na wana wajibu...
Vijana 30 waepushiwa adha mikataba ya bajaji Zaidi ya vijana 30 katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamepatiwa mikopo ya bajaji kupitia ushirikiano wa Akibabot Saccos na Benki ya Equity, hatua inayolenga kuwaondoa kwenye mikataba...
Tanzania Prisons hali tete kubaki Ligi Kuu Timu ya Tanzania Prisons imekubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mchezo wa kwanza wa mtoano ambapo mshindi wa jumla atapata tiketi ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao wa...
Serikali yasisitiza masomo ya sayansi kukuza uchumi wa kidijitali Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika sekta za kimkakati, hususan elimu ya sayansi, ikieleza kuwa maendeleo ya Taifa yanategemea uwepo wa wataalamu wa sayansi na teknolojia watakaoboresha...