Wakongwe England wamshambulia Thomas Tuchel Nyota wawili wa zamani wa timu ya Taifa ya England, Wayne Rooney na Kyle Walker, wamesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 ambacho timu hiyo imekipata kutoka kwa Argentina katika mechi ya nusu fainali...