Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mahakama yafuta kesi ya ubunge wa Baba Levo

Kigoma. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma imefuta kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Levocatus Chipando maarufu Baba Levo baada ya kuamua kuwa ushahidi uliowasilishwa hauwalazimishi walalamikiwa kujitetea.

Uamuzi huo umetolewa leo Julai 16, 2026 na Jaji Victoria Nongwa, anayesikiliza kesi hiyo ya uchaguzi namba 28949 ya mwaka 2025.

Kesi hiyo ilifunguliwa na wananchi wanne wanaojitambulisha kama wapigakura wa jimbo hilo, Johary Kabourou, Luma Akilimali, Pendo Kombolela na Lumu Mwitu.


Endelea kufuatilia mitandao ya Mwananchi.