Simulizi ya Lipston na ndoto yake ilivyozima ghafla
Saa chache kabla ya maisha yake kubadilika, Lipston Mlagulwa alikuwa kama maelfu ya vijana wa Kitanzania waliokuwa na ndoto kubwa za kuvaa jezi ya Taifa Stars na baadaye kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, akiamini ipo siku angefuata nyayo za mastaa kama Mbwana Samatta na Simon Msuva.