Fainali kumaliza ubishi Simba, RS Berkane Baada ya kuitoa Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba itaumana na RS Berkane ya Morocco katika fainali.
Matukio ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga