PRIME MAMBO MATANO MEI MOSI 2025: Mishahara yaendelea kugonga vichwa vya wafanyakazi Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuadhimishwa Siku ya Wafanyakazi Duniani, maarufu Mei mosi, watumishi wa umma na wa sekta binafsi wanatamani kusikia mambo matano kuhusu kuboresha masilahi.
PRIME Mambo matano ziara Dk Nchimbi Mara Siku sita za ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Mara, zimetosha kwa chama hicho kujitenga na kauli hatari dhidi ya upinzani, kuziweka mtegoni wizara...
Haya hapa majina waliopita usaili TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo. Soma majina hayo hapa TRA imetangaza...