Haya hapa majina waliopita usaili TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo.
TRA imetangaza majina hayo jana usiku Jumamosi Aprili 26, 2025.
Pia mamlaka imesema ratiba ya usaili wa mahojiano na vitendo itatolewa Aprili 29, 2025 kupitia tovuti ya Mamlaka.