Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

  1. PRIME Urembo wa Mateso: Maumivu ya nguo za kubana kwa wanawake

    Katika sherehe nyingi siku hizi, ni nadra kukutana na wanawake walioacha maumbo yao ya asili yaonekane bila marekebisho.

  2. WHO kupunguza wafanyakazi, bajeti kwa asilimia 20

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linapanga kupunguza idadi ya wafanyakazi na kiwango cha kazi, huku likipunguza bajeti yake kwa zaidi ya asilimia 20 kutokana na athari za kupunguzwa kwa ufadhili wa...

  3. PRIME Makosa haya yanavyobomoa ndoa

    Miongoni mwa makosa yanayofanywa na wenza kwenye ndoa, ni kutumia muda wanaopaswa kuwa pamoja kwa mambo mengine ya binafsi.

  4. PRIME Mbinu za kuwaandaa watoto kifedha, kiuchumi

    Kumfundisha mtoto kuhusu uchumi wa familia ni njia bora ya kumuandaa kwa maisha ya baadaye.

  5. PRIME Tabia ya kuazima-azima inakuondolea utu mwanamke

    Wakati nakua ilikuwa kawaida kusikia watu wazima wakiazimana nguo, viatu na hata mapambo kwa maana ya hereni, cheni, pete na makorokoro mengine.

  6. PRIME Hii ndio siri ya usafi kwa wanandoa

    Mfano, Uislam, uhimiza usafi wa mara kwa mara kutokana na kuyajua maumbile ya binadamu.

  7. PRIME Familia zinapokuwa chanzo watoto kufanyiwa ukatili, kupotoka kimaadili

    Kwa sehemu kubwa ukatili unatajwa kutendeka ndani ya familia na jamii.

  8. Tuwafundishe watoto kuelewa hisia za wenzao

    Badala ya kuwarekebisha waelewe makosa yao, tunawaambia maneno yanayoongeza tatizo.

  9. Uanaume ni zaidi ya kugharimikia sikukuu

    Wanaume tunapaswa kukumbuka kwamba uanaume haupimwi kwa uwezo wa kuwezesha sherehe za siku moja.

  10. Tanzania mwenyeji mkutano wa kimataifa wa elimu mtandao

    Tanzania imetaja fursa itakazonufaika nazo kwa kuwa mwenyeji wa kongamano la 18 la kimataifa la e-learning Afrika ikiwemo mbinu mpya za kuongeza matumizi ya teknolojia za kidigitali katika elimu...

  11. ‘Darasa janja’ kuwasaidia wanafunzi, wahitimu wa sekondari Rungwe

    Mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo, Magreth Mkoveke amesema somo hilo linaenda kuwabadilisha kifikra na kuwaandaa kidigitali.

  12. Wenye betri ya moyo ushauri hii inawafaa

    Kama una shida ya moyo na umepandikizwa betri ya moyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshauri matumizi ya simu yasiwe karibu na eneo lenye kifaa hicho kuepusha mawasiliano baina ya...

  13. Hospitali ya Haydom yapanuliwa, kugharimu Sh6.5 bilioni

    Haydom. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa amezindua jengo jipya la mama na mtoto la hospitali ya rufaa ya Kilutheri ya Haydom wilayani Mbulu mkoani...

  14. Gwajima awajia juu wanaodhihaki 'Single mothers'

    Gwajima amesema kutoa kauli mbaya dhidi yao ni kuwanyanyasa wanawake ambao wameamua kusimama na kulea watoto wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufiwa au kutengana na mzazi mwenzake.

  15. Madaktari wa upasuaji shida Afrika

    Tatizo la uhaba wa madaktari wa upasuaji sambamba na vifaatiba vyake, halikumbi tu Kaunti ya Turkana au Kenya, ni shida ya bara la Afrika.

  16. Kifua kikuu kinazuilika, chukua hatua, jikinge

    Mnamo 2023, ilikadiriwa watu milioni 10.8 waliugua TB ulimwenguni kote, wakiwemo wanaume milioni 6.0, wanawake milioni 3.6 na watoto milioni 1.3. Ugonjwa huu uko katika nchi zote na unaathiri...

  17. Tahadhari ya DKA kwa wagonjwa wa kisukari

    Ketoni ni asidi zinazoweza kufanya damu kuwa na tindikali nyingi, hali inayoweza kusababisha matatizo makubwa kiafya na hata kifo endapo haitatibiwa kwa haraka.

  18. PRIME Selimundu: Kwa nini ni tishio zaidi kwa watoto wa maeneo haya

    Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Molle watoto 11,000 hadi 14,000 huzaliwa na ugonjwa wa selimundu kila mwaka, huku idadi ya wagonjwa ikikadiriwa kuwa zaidi ya 200,000 nchini.

  19. MOI yaanzisha upasuaji magonjwa ya ubongo, uti mgongo kwa roboti

    Katika maendeleo makubwa kwa sekta ya afya nchini, Tanzania imepiga hatua kwa kuanzisha matibabu ya ubongo kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya roboti, katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo...

  20. Unakesha mitandaoni? Basi hii inakuhusu

    Kama wewe huwezi kukaa muda mrefu bila kutumia simu yako kuingia kwenye mitandao ya kijamii, upo hatarini kupata tatizo linaloathiri afya ya akili na saikolojia.