Panga laanza kupitia Simba Simba imethibitisha rasmi kuwa haitoendelea na wachezaji saba kwa msimu ujao unaotarajia kuanza Agosti 14 2026/27.