PRIME Serikali: Sheria mbioni kuwabana mabondia -3 KABLA ya kuweka sheria kuwabana mabondia kupima vipimo vya MRI/CT Scan, inapendekezwa kushughulikiwa kwanza suala la kila bondia wa ngumi za kulipwa kuwa na bima ya afya.
Messi avunja rekodi, Argentina ikifuzu 32 bora Mabao mawili ya nahodha wa Argentina, Lionel Messi aliyofunga katika dakika za 39 na 90 dhidi ya Austria yameifanya timu hiyo kufuzu hatua ya 32 ya Kombe la Dunia.
Haya hapa mambo manne Ligi Kuu ikibakiza mechi mbili Wakati nyota wa Namungo, Fabrice Ngoy akiwa mchezaji wa tatu kufunga mabao matatu (hat trick) katika mchezo mmoja wa Ligi Kuu Bara, mambo manne yamebadilika ghafla.
Dili iliyokufa -17 “Hizo taarifa tayari zimesambazwa katika vituo vyote vya polisi. Alama yetu ilikuwa ni namba ya usajili ya hilo gari kwani alipofika hapo gesti, watu waliona namba ya gari alilokuwa nalo. Kwa...
Jaku aiomba SMZ kuwekeza Ligi Kuu Zanzibar Mwakilishi wa Paje, Jaku Hashim Ayub ameishauri serikali kuwekeza fedha katika Ligi Kuu Zanzibar kwa lengo la kuipa thamani na ushindani kama zilivyo ligi nyingine.
Malindi yakubali yaishe Ligi Kuu Zanzibar MENEJA wa timu ya Malindi, Ramadhan Sanga amekubali yaishe kwa timu yake kushuka daraja msimu huu huku akisema wana mikakati madhubuti ya kurejea Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema wanakwenda...
Pemba inavyonawiri na viwanja vya kisasa UNAWEZA kusema kwamba zile dhana na imani za kuwa Pemba haiwezi kujengwa, hususan kwa upande wa michezo, kwa sasa mambo yamekuwa tofauti na matarajio ya kila mmoja. Kati ya kundi la watu 100...
PRIME Dakika 270 za mnyukano Ligi Kuu MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025-2026 unaelekea ukingoni huku zikibaki raundi tatu pekee, sawa na dakika 270 za uamuzi mgumu kwa kila timu, kabla ya pazia kufungwa rasmi.
Elvis Rupia anukia Ligi Kuu Kenya MSHAMBULIAJI mahiri wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia yuko katika mazungumzo ya kurejea katika timu ya Kenya Police FC ya kwao Kenya aliyowahi kuichezea awali, baada ya klabu hiyo kuanza...
Bellingham: Sikustahili kuwa nyota wa mchezo BAADA ya timu ya taifa ya England kulazimishwa sare ya bila kufungana na Ghana, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Jude Bellingham amesema hakustahili kuwa nyota wa mchezo huo badala yake tuzo...