Harmonize, RockStar Africa kuna jambo! NDIVYO unavyoweza kusema kwa jinsi ambavyo Harmonize ameendelea kushirikiana na wasanii ambao wapo chini ya lebo ya RockStar Africa, hatua ambayo inaonyesha uhusiano mzuri uliyopo kati yao.
Yanga yaichaka Azam yakomaa kileleni Safari ya Yanga kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imebakisha vituo viwili baada ya kuifunga Azam mabao 3-0 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.