Jaku aiomba SMZ kuwekeza Ligi Kuu Zanzibar Mwakilishi wa Paje, Jaku Hashim Ayub ameishauri serikali kuwekeza fedha katika Ligi Kuu Zanzibar kwa lengo la kuipa thamani na ushindani kama zilivyo ligi nyingine.
Malindi yakubali yaishe Ligi Kuu Zanzibar MENEJA wa timu ya Malindi, Ramadhan Sanga amekubali yaishe kwa timu yake kushuka daraja msimu huu huku akisema wana mikakati madhubuti ya kurejea Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema wanakwenda...
Pemba inavyonawiri na viwanja vya kisasa UNAWEZA kusema kwamba zile dhana na imani za kuwa Pemba haiwezi kujengwa, hususan kwa upande wa michezo, kwa sasa mambo yamekuwa tofauti na matarajio ya kila mmoja. Kati ya kundi la watu 100...