Likizo ya Hakimu yakwamisha kesi ya DED na wenzake 10 Kigoma
Pamoja shtaka la kutakatisha fedha, wanashtakiwa hao pia wameshtakiwa kwa makosa ya kula njama kwa nia ya kutenda kosa, kugushi nyaraka, matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali...