Kanuni za maadili uchaguzi kuanza rasmi Hatua hiyo ya kuchapishwa kwa kanuni hizo, inafungua milango kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kuendelea na michakato mingine ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu.
Sababu Wakatoliki hawali nyama Ijumaa Kuu Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja na mshikamano.
Tanzania kuzuia uingizwaji wa mazao kutoka Malawi, Afrika Kusini Serikali ya Tanzania imesema itazuia uingizaji wa mazao na bidhaa za kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025 endapo vikwazo kwa Tanzania miongoni mwa nchi...