TMA yatangaza mvua kubwa siku tatu mfululizo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza angalizo la mvua kubwa kwa siku tatu mfululizo katika maeneo mbalimbali nchini, kuanzia leo Alhamisi, Machi 27, 2025.
ATCL, TTCL zapata hasara ya mabilioni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania, Charles Kichere amesema mwaka wa fedha 2023/24, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya Sh91.8 bilioni, ikiwa ni...
Simba yamaliza kikao, yakana kujadili Dabi ya Kariakoo Simba nao wamemaliza kikao chao na Wizara ya Utamaduni, Sanaaa na Michezo huku ikikana ajenda ya mchezo dhidi ya Yanga kuzungumzwa kwenye mkutano huo.