PRIME Ukiziona ishara hizi kapime, ni dalili za magonjwa ya ngono Mtaalamu wa Afya ya Jamii, Dk Ali Mzige anasema kuna dalili kadhaa zinazoashiria mtu amepata au anaishi na maambukizi ya ugonjwa mmojawapo wa ngono.
Mikoa hii ijiandae kwa mvua kwa saa 48 Wakati mvua iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam ikisababisha adha kwa wananchi, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Aprili 14, 2025 imetoa angalizo la mvua kubwa...
VIDEO: Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyishwa mitihani, atoa pendekezo Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amekosoa utaratibu wa waajiriwa wapya kufanyiwa mtihani kabla ya kuajiriwa na badala yake ametaka vitumike vyeti.