Mahakama yafuta kesi ya ubunge wa Baba Levo Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma imefuta kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Levocatus Chipando maarufu Baba Levo baada ya kuamua kuwa ushahidi uliowasilishwa hauwalazimishi walalamikiwa...