Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wawili Simba kuikosa Nsingizini, meneja Pantev aleleza sababu

SIMBA Pict

Muktasari:

  • ‎Mechi hiyo ya kwanza katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kupigwa Oktoba 19, 2025 nchini Eswatini.

‎Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa Camara wataikosa mechi dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokana na majeraha.

‎Mechi hiyo ya kwanza katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kupigwa Oktoba 19, 2025 nchini Eswatini.

‎Pantev ametoa kauli hiyo wakati kikosi cha timu hiyo kikiondoka leo Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kuelekea Eswatini kwa ajili ya mechi hiyo.