Makundi yote UEFA haya hapa
MONACO, UFARANSA. UTAMU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umerudi baada ya droo kupangwa jana Alhamisi huko Monaco Ufaransa, ambapo mashabiki watashuhudia mechi za kibabe ikiwamo Arsenal na Bayern Munich, Chelsea na Barcelona, Real Madrid na Manchester City, Liverpool na Real Madrid na Barcelona ikikipiga na Paris Saint-Germain kwa kuzitaja kwa uchache.
Kwenye mtindo mpya wa michuano hiyo itakayochezwa kwa mfumo wa ligi, kila timu itakabiliwa na mechi nane katika raundi hiyo ya awali kabla ya kuingia kwenye hatua za mtoano.
Mikikimikiki hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itahusisha timu 36, ambapo nane za juu zitafuzu moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora, wakati timu ya kuanzia nafasi ya tisa kwenye msimamo hadi 24, zitacheza mechi mbili za mchujo, nyumbani na ugenini ili kupata nane nyingine zitakazokwenda kuungana na zile za mwanzo kuunda hatua ya 16 bora.
Droo hiyo ina maana beki Trent Alexandre-Arnold atarejea kukipiga Anfield, wakati straika Harry Kane atakuwa na fursa ya kuendelea na makali yake uwanjani Emirates atakapokwenda kuikabili Arsenal akiwa na chama lake la Bayern Munich. Mbona patachimbika.
Droo kamili ya hatua hiyo ya mtindo wa ligi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025-26, kwa kuzingatia mechi za kila timu itakazochuana nazo nyumbani na ugenini.
Ajax: Inter Milan (H), Chelsea (A), Benfica (H), Villarreal (A), Olympiacos (H), Marseille (A), Galatasaray (H), Qarabag (A)
Arsenal: Bayern Munich (H), Inter Milan (A), Atletico Madrid (H), Club Brugge (A), Olympiacos (H), Slavia Prague (A), Kairat Almaty (H), Athletic Bilbao (A)
Atalanta BC: Chelsea (H), Paris St-Germain (A), Club Brugge (H), Eintracht Frankfurt (A), Slavia Prague (H), Marseille (A), Athletic Bilbao (H), Union SG (A)
Athletic Bilbao: PSG (H), Borussia Dortmund (A), Arsenal (H), Atalanta BC (A), Sporting Lisbon (H), Slavia Prague (A), Qarabag (H), Newcastle United (A)
Atletico Madrid: Inter Milan (H), Liverpool (A), Eintracht Frankfurt (H), Arsenal (A), Bodo/Glimt (H), PSV Eindhoven (A), Union SG (H), Galatasaray (A)
Barcelona: Paris St-Germain (H), Chelsea (A), Eintracht Frankfurt H), Club Brugge (A), Olympiacos (H), Slavia Prague (A), Copenhagen (H), Newcastle United (A)
Bayer Leverkusen: Paris St-Germain (H), Manchester City (A), Villarreal (H), Benfica (A), PSV Eindhoven (H), Olympiacos (A), Newcastle (H), Copenhagen (A)
Bayern Munich: Chelsea (H), Paris St-Germain (A), Club Brugge (H), Arsenal (A), Sporting (H), PSV (A), Union SG (H), Pafos (A)
Benfica: Real Madrid (H), Chelsea (A), Bayer Leverkusen (H), Juventus (A), Napoli (H), Ajax (A), Qarabag (H), Newcastle (A)
Bodo/Glimt: Man City (H), Borussia Dortmund (A), Juventus (H), Atletico Madrid (A), Tottenham Hotspur (H), Slavia Prague (A), Monaco (H), Galatasaray (A)
Borussia Dortmund: Inter Milan (H), Manchester City (A), Villarreal (H), Juventus (A), Bodo/Glimt (H), Tottenham (A), Athletic Bilbao (H), Copenhagen (A)
Chelsea: Barcelona (H), Bayern Munich (A), Benfica (H), Atalanta (A), Ajax (H), Napoli (A), Pafos (H), Qarabag (A)
Club Brugge: Barcelona (H), Bayern Munich (A), Arsenal (H), Atalanta (A), Marseille (H), Sporting (A), Monaco (H), Kairat Almaty (A)
Copenhagen: Borussia Dortmund (H), Barcelona (A), Bayer Leverkusen (H), Villarreal (A), Napoli (H), Tottenham Hotspur (A), Kairat (H), Qarabag (A)
Eintracht Frankfurt: Liverpool (H), Barcelona (A), Atalanta (H), Atletico Madrid (A) Tottenham (H), Napoli (A), Galatasaray (H), Qarabag (A)
Galatasaray: Liverpool (H), Manchester City (A), Atletico Madrid (H), Eintracht Frankfurt (A), Bodo/Glimt (H), Ajax (A), Union SG (H), Monaco (A)
Inter Milan: Liverpool (H), Borrusia Dortmund (A), Arsenal (H), Atletico Madrid (A), Slavia Prague (H), Ajax (A), Kairat Almaty (H), Union SG (A)
Juventus: Borussia Dortmund (H), Real Madrid (A), Benfica (H), Villarreal (A), Sporting (H), Bogo Glimt (A), Pafos (H), Monaco (A)
Kairat: Real Madrid (H), Inter Milan (A), Club Brugge (H), Arsenal (A), Olympiacos (H), Sporting Lisbon (A), Pafos (H), Copenhagen (A)
Liverpool: Real Madrid (H), Inter Milan (A), Atletico Madrid (H), Eintracht Frankfurt (A), PSV Eindhoven (H), Marseille (A), Qarabag (H), Galatasaray (A)
Manchester City: Borussia Dortmund (H), Real Madrid (A), Bayer Leverkusen (H), Villarreal (A), Napoli (H), Bodo/Glimt (A), Galatasaray (H), Monaco (A)
Marseille: Liverpool (H), Real Madrid (A), Atalanta BC (H), Club Brugge (A), Ajax (H), Sporting Lisbon (A), Newcastle United (H), Union SG (A)
Monaco: Manchester City (H), Real Madrid (A), Juventus (H), Club Brugge (A), Tottenham Hotspur (H), Bodo/Glimt (A), Galatasaray (H), Pafos (A)
Napoli: Chelsea (H), Manchester City (A), Eintracht Frankfurt (H), Benfica (A), Sporting Lisbon (H), PSV Eindhoven (A), Qarabag (H), Copenhagen (A)
Newcastle United: Barcelona (H), Paris Saint-Germain (A), Benfica (H), Bayer Leverkusen (A), PSV Eindhoven (H), Marseille (A), Athletic Bilbao (H), Union SG (A)
Olympiacos: Real Madrid (H), Barcelona (A), Bayer Leverkusen (H), Arsenal (A), PSV Eindhoven (H), Ajax (A), Pafos (H), Kairat (A)
Pafos: Bayern Munich (H), Chelsea (A), Villarreal (H), Juventus (A), Slavia Prague (H), Olympiacos (A), Monaco (H), Kairat (A)
Paris Saint-Germain: Bayern Munich (H), Barcelona (A), Atalanta (H), Bayer Leverkusen (A), Tottenham Hotspur (H), Sporting (A), Newcastle United (H), Athletic Club (A)
PSV Eindhoven: Bayern Munich (H), Liverpool (A), Atletico Madrid (H), Bayer Leverkusen (A), Napoli (H), Olympiacos (A), Union Saint-Gilloise (H), Newcastle United (A)
Qarabag: Chelsea (H), Liverpool (A), Eintracht Frankfurt (H), Benfica (A), Ajax (H), Napoli (A), Copenhagen (H), Athletic Bilbao (A)
Real Madrid: Manchester City (H), Liverpool (A), Juventus (H), Benfica (A), Marseille (H), Olympiacos (A), Monaco (H), Kairat Almaty (A)
Slavia Prague: Barcelona (H), Inter Milan (A), Arsenal (H), Atalanta BC (A), Bodo/Glimt (H), Tottenham Hotspur (A), Athletic Bilbao (H), Pafos (A)
Sporting Lisbon: Paris Saint-Germain (H), Bayern Munich (A), Club Brugge (H), Juventus (A), Olympiacos (H), Napoli (A), Kairat (H), Athletic Bilbao (A)
Tottenham Hotspur: Borussia Dortmund (H), Paris Saint-Germain (A), Villarreal (H), Eintracht Frankfurt (A), Slavia Prague (H), Bodo/Glimt (A), Copenhagen (H), Monaco (A)
Union SG: Inter Milan (H), Bayern Munich (A), Atalanta BC (H), Atletico Madrid (A), Marseille (H), PSV Eindhoven (A), Newcastle United (H), Galatasaray (A)
Villarreal: Manchester City (H), Borussia Dortmund (A), Juventus (H), Bayer Leverkusen (A), Ajax (H), Tottenham (A), Copenhagen (H), Pafos (A).
*H= nyumbani, A= ugenini.