Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Haya hapa majina waliopenya uteuzi CCM

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla

Dar es Salaam. Baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika jana Jumatatu Julai 28, 2025, makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma, hatimaye majima ya waliopenya yamewekwa hadharani.

Katika orodha hiyo yapo majina yaliyoachwa na wamo walioingia wapya na ambao walikuwa nje wakarudishwa.