Wasio na nguvu za kiume wapata tiba ya upandikizaji

Muktasari:
- Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo.
Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo.
Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati tatizo hilo likiwakabili wanaume wengi nchini hali inayowafanya wengi kutumia chochote kinachosemekana kinaongeza nguvu hizo.
Soma zaidi gazeti la Mwananchi toleo la leo Jumamosi