Vinywaji vya kusisimua tatizo jipya nchini

Muktasari:
- Katika siku za karibuni kumeibuka matumizi yaliyokithiri ya vinywaji vya kusisimua huku wengine wakichanganya vinywaji hivyo na dawa.
Dar es Salaam. Katika siku za karibuni kumeibuka matumizi yaliyokithiri ya vinywaji vya kusisimua huku wengine wakichanganya vinywaji hivyo na dawa.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini watu wanaofanya shughuli kama udereva, ukondakta, wanamichezo, watu wanaofanya kazi za nguvu, wamekuwa watumiaji wakubwa wa vinywaji hivi bila kujali kiwango kinachoelekezwa na watengenezaji.
Kinywaji hiki ambacho ndani yake kina kemikali inayosisimua `Caffein’, kitaalamu mtu hashauriwi kutumia chupa zaidi ya mbili kwa siku hata hivyo, watumiaji wake baadhi wamekuwa wakitumia zaidi hivyo kuwa katika hatari ya kupata matatizo zaidi ya kiafya.
Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.