Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mufti: Idd El Fitri kesho

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir

Muktasari:

  • Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.

Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025 imeeleza:

“Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir leo ameutangazia umma wa Kiislam Tanzania kwamba leo siku ya Jumapili mwezi umeandama na umeonekana maeneo mbalimbali nchini. hivyo kesho siku ya Jumatatu ni sikukuu ya Idd.”