Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Miili waliofariki ajali ya ghorofa Kariakoo kuagwa leo

Dar es Salaam. Miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya ghorofa lililoporomoka  Kariakoo, inaagwa leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Hadi jana usiku ililiripotiwa watu 13 wamepoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea juzi huku 84 wakijeruhiwa.

Akizungumza na Mwananchi, Mwenyekiti wa kamati ya maafa, William Lukuvi amesema tayari utambuzi wa miili hiyo umefanyika.

Amesema baada ya utambuzi, leo Jumatatu Novemba 18, 2024 miili hiyo itaagwa katika tukio litakaloongozwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.


Endelea kufuatilia Mwananchi.