KESI YA UHAINI: Waziri wa zamani atoa ushahidi mahakamani-21

Katika toleo lililopita tuliona namna Meja Jenerali Hamis Hemedi Nyuni wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka Zanzibar alivyoiambia Mahakama Kuu mjini Dar es Salaam kuwa shahidi wa 11 wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo inawezekana pia alikuwa mshiriki katika mpango wa kumuua Rais Julius Nyerere na kuipindua Serikali yake.
Katika ushahidi wake alimtaja aliyekuwa naibu waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Kanali Seif Bakari, alivyopata habari za mpango wa kumuua Rais wa Tanzania na kupindua Serikali yake.
Endelea kusoma habari hii kwa kubonyeza hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8840