Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

KESI YA UHAINI 1985: Mwamunyange atoa ushahidi mahakamani-22

Muktasari:

  • Katika toleo lililopita tuliona ushahidi uliotolewa mahakamani na aliyekuwa Naibu Waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Kanali Seif Bakari.

Katika toleo lililopita tuliona ushahidi uliotolewa mahakamani na aliyekuwa Naibu Waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Kanali Seif Bakari.

Baada ya kumaliza ushahidi wake, shahidi aliyefuata ni ofisa mwandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Davis Mwamunyange.

 Endelea kusoma kwa kubonyeza hapa; https://egazeti.co.tz/show_related/8849